Matumizi ya kuni na mkaa

Matumizi ya kuni na mkaa

Kasongo_2024

Member
Joined
Mar 9, 2024
Posts
40
Reaction score
38
Serikali imejipanga vipi kuhakikisha mwananchi wa kawaida anatumia gesi au umeme kupikia?

Je, huu uamuzi wa serikali kuwataka wananchi kutumia gesi badala ya kuni na mkaa, imefanya tathmini ipi na kugundua kuwa wananchi wa kawaida wanaweza kumudu gharama za matumizi ya gesi?

Kama serikali ina nia ya dhati kukomesha matumizi ya kuni na mkaa, basi ipunguze gharama za nishati ya gesi na umeme ili hata mwananchi wa vijijini waweze kumudu hizo gharama. Vinginevyo, waliopitisha
 
Back
Top Bottom