Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hapo tu duh!kuna bwnaa mkubwa sana jiwe morogoro anaita mologolo hahahaha
Siku utakapo kutana na bosi hajui hio r na l lakini inabidi umsikilize tu ili upate pesa ndo utajua kama hizi lugha si chochote cha muhimu ni message
Mtu wa media hatakiwi kuwa na mapungufu kama hayo ya lugha. Hawatakiwi kuajiriwa
Truth comes with pain.Mtu wa media hatakiwi kuwa na mapungufu kama hayo ya lugha.
Cha kushangaza wapo wengi sana wa aina hiyo. Sidhani kama waajiri wao wana uelewa huo.Truth comes with pain.
Siyo matamshi pekee. Kuanzia muonekano (kuvaa, kunyoa mpaka kutembea). In-short gestures zote ni muhimu kuzingatia.
Maneno sanifu ya kiswahili kama, kuhodhi, aghalabu, usuli, mawanda mapana, mantiki, zanambiu, ubazazi, kudurusu, kasri na orodha inaendelea... hayana nafasi kabisa kwa waandishi uchwara wanaoiharibu tasnia hii kila uchwao.
Huwa siangalii, sisikilizi na kusoma Swahili new's kutokana na hayo mapungufu.
Kwa mwandishi wa habari yeyote mwenye aidha Cheti/shahada Ni un-ethical kusoma, kuandika Kwa kutozingatia 5W and 1H.
Demi, huko katika taasisi za Uandishi & utangazaji ni gulio la kizota.Cha kushangaza wapo wengi sana wa aina hiyo. Sidhani kama waajiri wao wana uelewa huo.