Matumizi ya lugha.

Ekitarangwe

Member
Joined
May 29, 2008
Posts
13
Reaction score
0
Haya wana jf kunaneno moja nataka munieleze matumizi yake.

Nihivi Mh furani KAGONGA Wasichana wawili mjini Dar je mnapata picha gani?
 
Haya wana jf kunaneno moja nataka munieleze matumizi yake.

Nihivi Mh furani KAGONGA Wasichana wawili mjini Dar je mnapata picha gani?

Ekitarangwe,

Hili ni jukwaa la lugha na hivyo nafanya masahihisho kidogo:

'Kunaneno' = kuna neno
'Munieleze' = mnieleze
'Nihivi' = Ni hivi
'Furani' = Fulani

Hilo la 'Mh fulani kagonga wasichana wawili' nawaachia wataalamu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…