ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Nimekusoma mkuuWakati mwingine ulaji wa mafuta unachangiwa na uendeshaji wa gari. Ukanyagaji wa mafuta bila kuwa na mpangilio unaweza kusababisha fuel consumption kuwa kubwa. Ili matumizi ya mafuta yawe economical zingatia yafuatayo:
(1) Jizuie kukaganya mafuta kws ghafla kwa ni utajikuta rpm imepanda ghafla huku speed haijaongezeka.
(2) Jizuie kuendesha gari huku rpm ikiwa 3 au zaidi. Mara nyingi rpm ikiwa 3 au zaidi mafuta hutumika mengi sana.
(3) Chunguza brake pad kama ziko ok. Brake pad zinapoanza kuchoka husababisha matumizi makubwa ya mafuta.
Hapa mkuu nakushauri ungeanzisha uzi wako ktk hili!Gari yangu ni toyota allex kuna kipind ilikuwa haizid spidi 100 ínAkuwA nzito nikaipeleka kwa fundi akakata exhaust akazibua km mmaudongo akayatoa akarudishia. Sa hv bia km kawa je kutolewa kwa hizo ndude kwenye exhaust haiwez leta tatizo kwenye injin
Ilikusumbua nini kwenye umeme? Mafundi wapo lakiniXtrail ni mbovu ajabu. Mfumo wa umeme ni kizunguzungu
Acha unoko.hiv kwa nn hizi xtrail zisipigwe BAN kuingia TZ. tushachoka habari zake
Uza nunua SANLGGari inakunywa mafuta kama nini sijui. Najuta kununua hii gari
Gari ni nzuri sana hizo isipokuwa spare zake ghali. Mafundi wengi ni wezi tu. Shida kubwa ya xtrail ni kuchemka na hatimaye kuunguza cylinder head gasket au cylinder head yenyewe. Hakikisha maji yapo sawa ktk radiator yako na uwe makini na gauge ya temperature ukiwa safarinihiv kwa nn hizi xtrail zisipigwe BAN kuingia TZ. tushachoka habari zake