Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Asante mkuu kwa hiyo maweza jipaka au?Yanatumika kupaka mwilini..kufanyia massage..kutengenezea vipodozi..na kupikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes tena mazuri Sana kwa ngozi na kichwani pia kwa ajili ya nywele.Asante mkuu kwa hiyo maweza jipaka au?
Asante ndio maana naipenda jamii forumsYes tena mazuri Sana kwa ngozi na kichwani pia kwa ajili ya nywele.
Sent using Jamii Forums mobile app
ubarikiwe mkuuHayo ni mafuta ya zaituni, Matumizi yake ni kupikia, kupaka sana sana mtu akiwa na mapepo hata kwa ajili ya massage na ni rahisi zaid kupenya kwenye ngozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
nataka matumizi yake sio yalikopatikanaUmeyatoa wapi mbona unakwepa swali hili
Ile Ilikuwa ni Acid hayo ni olive oilKubenea anayajua chupuchupu yamfanye kipofu wa maisha kama sii jk kupeleka nje kimatibabu mpaka sasa angekuwa anatembelea fimbo jeupe
Icho ni kilainishi unaweza kupaka usoni, uso unakua laini, kichwani huondoa mba ,massage vilevile kikopo ka icho kinauzwa 5000 mtaani ni ghaliHabari wadau wa JF
nilikuwa naomba msaada wa haya mafuta yanatumikaje maana ninayo muda mrefu sijui matumizi yake,msaada pleaseView attachment 1305571
ukiwazoea hawakusumbui,pay attention kwenye positive results only wala hutapata shida
Yaani kama grisi?Yanaweza kutumika kama kilainisho....😛
Jamaa atakuwa wa kinyumenyume itakuwa aliyapata kwenye chama chaoKayapata wapi?????