Matumizi ya mafuta ya Olive ni nini?

Empty Set.......Watu kama nyie ni LIABILITY kwa taifa....**** YOU
Ww ni liability kubwa sana yan una smartphone unashndwa ku-google what is olive oil? Au ulitaka kuanzisha thread tu uone comments... What a Cunt you are! Go back to school january is near
 
Ww ni liability kubwa sana yan una smartphone unashndwa ku-google what is olive oil? Au ulitaka kuanzisha thread tu uone comments... What a Cunt you are! Go back to school january is near
Ngoja nisibishane na wewe maana nimeshakuambia wewe ni empty set........wenye akili zao wamejibu,so https://jamii.app/JFUserGuide off.......get out of my way,mind your business
 
Habari wanajamii forums
Nilikuwa naomba msaada wa kujua matumizi ya mafuta haya ya olive oil hasa haya ya kwenye Picha

Mimi nayatumia;
Kupikia/kuweka kwa salad
Kufanyia massage/kupaka mwilini ila kwa kupaka mwilini si sana labda ikitokea changamoto flan kama kidonda
Kupaka kwenye nywele hasa ngozi ya kichwa..

Ni mafuta mazuri kwa upande wangu kwakweli,
 
[emoji848] Nakupikia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…