Matumizi ya magari ya serikali baada ya kuanza SGR

Matumizi ya magari ya serikali baada ya kuanza SGR

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Za leo wakuu,

Natumaini SGR kati ya Dodoma na Dar kupitia Morogoro. Hivyo basi tunahitaji kupunguza ajali za magari na pia kupunguza matumizi kwa kuhakikisha viongozi na wafanyakazi wanatumia treni hiyo.

Hili litafanya uboreshaji wa treni na kuhakikisha serikali inapunguza matumizi kupitia reli hiyo.

Nawasilisha
 
Za leo wakuu,
Natumaini SGR kati ya Dodoma na Dar kupitia Morogoro.
Hivyo basi tunahitaji kupunguza ajali za magari na pia kupunguza matumizi kwa kuhakikisha viongozi na wafanyakazi wanatumia treni hiyo.
Hili litafanya uboreshaji wa treni na kuhakikisha serikali inapunguza matumizi kupitia reli hiyo.
Nawasilisha
Mimi kama Mheshimiwa nitapanda SGR Royal class, dereva ataendesha VXR atanikuta Dar na kurudi nitafanya hivyo hivyo.
Kwa hela zenu ofukozi.
 
Mimi kama Mheshimiwa nitapanda SGR Royal class, dereva ataendesha VXR atanikuta Dar na kurudi nitafanya hivyo hivyo.
Kwa hela zenu ofukozi.
Hapo siyo sawa ofisa mkuu. Panda SGR ukifika Dar magari ya taasisi zilizo chini yako yatatumika kukupeleka mkutanoni au eneo lolote la kikazi
 
Back
Top Bottom