matumizi ya magic powder ni yapi?

jecz

Senior Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
199
Reaction score
258
nimekua nikitokwa na viupele kila ninaponyoa ndevu,naomba ushauri wenu kwani nimeletewa magic powder naogopa kuitumia nisije nikapatwa na janga zito!
 
Majic Pawder inatumika kutolea Ndevu ni dawa mzuri kuhusu madhara nadhani ukifanya matumizi sahihi huwezi kuathilika ila ukifanya matumizi yasiyo sahihi kadhalika madhara lazima uyapate kama zilivyo chemical zingine
mimi natumia mwaka wa tano sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…