Matumizi ya Mastercard, Visa, Western union & Paypal

Mworombo01

Senior Member
Joined
Nov 9, 2016
Posts
113
Reaction score
82
Habari za Leo wadau.

Tafadhali naomba kueleweshwa vizuri juu ya matumizi ya mada tajwa hapo juu.

Nimegundua fursa ya kuwekeza mtandaoni ambapo Nina uwezo wa kupata faida kubwa kwa muda mfupi na kuweza kurudisha mtaji wangu, swala linalonitatiza ni jinsi gani naweza kupata mkwanja wangu kwa hela ya madafu maana nawekeza kwenye cryptocurrecy na njia mojawapo ninazoziona kuweza kupata mkwanja wangu ni kwa kutumia *Western Union, Paypal na MasterCard Visa*

Naomba kujua ni jinsi gani unaweza kutumia njia hizo kuweza kupata mkwanja wangu katika madafu.

Njia nyingine za malipo pia ni kupitia bank wakati nikiangalia mabenki yetu hayajaweza kujiingiza kwenye malipo ya digital money..

Msaada tafadhali.
 
W.union kwangu ni rahisi na nzuri bcoz unaipata pesa yako within 12hrs tangu ulipotumiwa!
 
Mkuu mbona hata ukigoogle unaelewa fasta tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…