Matumizi ya matunda

Matumizi ya matunda

allina

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
76
Reaction score
13
Natalaji muwazima..

Jamani kwa mtaalam anaejua namna nzuri ya matumizi ya matunda atuongoze hapa ya kwamba,

1. nimatunda yapi ambayo waweza kula kwa pamoja na yapi huwezi kula kwapamoja? mfano chungwa na tango haviendi pamoja.
2. pia je waweza kula matunda kama mlo wa asubuhi,mchana au jioni?

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom