CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
kwenye salad madame......
Kwenye kachumbariiiiiii
au hata ukila chips, samaki wa kukaanga unaweka ketchup pembeni na mayonaise yako......
Sie wengine hadi kwenye mikate kwa mbaaaaaali unaweka mayonnaise
ina faida gani mamie?
Mwanamke gani hadi leo hii hujui matumizi ya mayonnaise au hata faida yake?.....ukitoka kanisani pitia talaka yako hapa Landmark, Ubungo.
Hi, my in law...siyo, nilikuwa namtania tu huyu @C. ladyHivi kwani my daughter ndio charminglady? It can't be maana dowuta wangu anavyopenda salad iliyowekwa mayonaise siwezi amini!
Young Master, hebu pitia hapa kaka. . .
charminglady ahsante kwa kutoa hii mada, maana nadhani umegundua kila ukiniwekea kwenye msosi uwa siigusi, mwenzio uwa siipendi na siielewi, ndo maana uwa sili kabisa
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.
Na moja ya raw material yake unapoitengeneza hiyo mayonaise ,eggyork,oliver oil.
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.
Yaani sipendagi hayo makitu charminglady lol.....yaani hata nikikuja nyumbani kwako usijaribu kunisogezea mezani!
Naomba nijulishwa kuhusu aina ya mafuta kwenye mayonaise ..kama ni mazuri au mabaya..Mie kila nikila huwa najihisi kuongeza weight...wataalamu please msaada.
ina faida gani mamie?