Matumizi ya mbolea ya asili

kilimafedha

New Member
Joined
Nov 11, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Habari wadau,

Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia?

Je, nitumie kiasi gani kwa ekari?
 
Popo kama popo?
1. Hiyo mbolea ina nini special?
2. Unaipata wapi kiasi cha kupiga ekari nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…