Matumizi ya mionzi katika uchunguzi wa kitabibu ina madhara kwa afya?

Matumizi ya mionzi katika uchunguzi wa kitabibu ina madhara kwa afya?

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Hili suala nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kuwa matumizi ya mionzi kama vile X-Rays kwenye uchunguzi wa kitabibu ina madhara ki afya, uhalisia wake upoje?

radiology.jpeg
 
Haishauriwi kurudia rudia XRAY, hata hizi CT SCAN na MRI , inadaiwa zinaua cell za mwili. Lakini hakuna jinsi maana madaktari wanategemea hivyo vipimo kwa ajili ya tiba.
 
Back
Top Bottom