Hili suala nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kuwa matumizi ya mionzi kama vile X-Rays kwenye uchunguzi wa kitabibu ina madhara ki afya, uhalisia wake upoje?
Haishauriwi kurudia rudia XRAY, hata hizi CT SCAN na MRI , inadaiwa zinaua cell za mwili. Lakini hakuna jinsi maana madaktari wanategemea hivyo vipimo kwa ajili ya tiba.