Wana jamvi.
Asalam aleikhoum. Nimewaletea thread hii tujaribu kueleweshana kwa ajili ya kuelimishana na tuwe na nafasi husika katika maendeleo ya kiutendaji kitamaduni na kijamaa.
Mtu anatuma picha kwenye mitandao niliyoitaja kisha anafanya private settings, usitizame picha kwa undani wala usimtumie msg, lengo la huyu mtu ni nini?
Mitandao hii madhumuni yake ni kukutanisha wadau kwa madhumuni mbali mbali lakini lililo kuu ni kugwaduana. Unakuta mwanamke anasema with relation au married lakini wants to meet men 33-99, ukimchokora umwambie umeona hiyo vipi nataka! Anaanza ooh..nimeolewa!
Sasa najiuliza watu kama hawa hawajui hii mitandao ni zile biashara za wahaya mnazi mmoja zilizo boreshwa???