Naomba kujuzwa matumizi ya mmea wa aloe vera (shubiri)
1. Je, unatibu magonjwa gani ?? Na kama unatumika kama kinga je ni kinga ya nini ?? Na kama unatumika kama dawa ya nje kwa ajili ya ngozi ni kwa magonjwa gani???
2. Je ni hatua gani za kuuandaa mmea wa aloe vera kwa ajili ya tiba au kinga ?? Unaandaaje ukiwa nyumbani??
3. Nini madhara yake katika mwili wa binadamu??
NAWASILISHA
Cc MziziMkavu