Matumizi ya msemo wa mbuzi wa masikini hazai....

Matumizi ya msemo wa mbuzi wa masikini hazai....

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Kuna msanii mmoja ameimba "mbuzi wa masikini hazai labda atage mayai",je usemi huu una maana gani hasa maneno yaliyoongezwa "labda atage mayai". Msemo uliozoeleka ni mbuzi wa masikini hazai.
 
Back
Top Bottom