kingfish JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 571 Reaction score 159 Dec 15, 2012 #1 Kuna msanii mmoja ameimba "mbuzi wa masikini hazai labda atage mayai",je usemi huu una maana gani hasa maneno yaliyoongezwa "labda atage mayai". Msemo uliozoeleka ni mbuzi wa masikini hazai.
Kuna msanii mmoja ameimba "mbuzi wa masikini hazai labda atage mayai",je usemi huu una maana gani hasa maneno yaliyoongezwa "labda atage mayai". Msemo uliozoeleka ni mbuzi wa masikini hazai.