Kwa kizungu wanaita Carbon Copy, mimi huwa natumia hilo neno kumuita mtu fulani na yeye aje achangie mada husika kwa kutoa ufafanuzi na sio kwa show off
Cc😡Numbisa
Ukweli mtupuNiongezee CARBON COPY
Huu ni msamiati unatumiwa kwenye e-mail kunakuwa na carbon copy na blind carbon copy matumizi yake ni kama ifuatavyo:
mfano unataka kutuma e-mail kwa Numbisa Jovitha mahondaw Smart911 Troll JF Hance Mtanashati
kwenye kutuma unaweza ukamtumia Numbisa, jovitha na mahondaw ila kama unataka smart911, trol jf na hance mtanashati wajuane kwamba e-mail moja umewatumia wote na wote wanajua nani aliyetumiwa ndo hapo CC INAPOCHEZA
Ila kama hutaki wajuane ndo BCC inahusika ila kunakuwa na taarifa kwamba na wengine wametumiwa ujumbe huo bila kukupa taarifa ni nani hao
Niongezee CARBON COPY

Ni kweliSomo zuri,shukrani mkuu
Kwa JF tag muhimu maana nyuzi zipo nyingi,comments tele hivyo bila tag mhusika hawezi itikia wito kwa muda muafaka