Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana kwamba kwa mwanamke wa kiswahili (sijui wa kidhungu)......
Mchana Ukimwambia kaa vizuri...anabana miguu
Usiku ukimwambia kaa vizuri...anapanua miguu
Je Kuna ukweli wowote?
Inategemea, hata kama ni usiku kama mko sebuleni atabana miguu kama ameipanua na nguo zake za ndani zinaonekana. kama yupo kitandani inawezekana kama unavyosema kutegemea mnataka kufanya nini. We can not generalize. Lakini kuna mantiki kwenye semi zako.