Inategemea, hata kama ni usiku kama mko sebuleni atabana miguu kama ameipanua na nguo zake za ndani zinaonekana. kama yupo kitandani inawezekana kama unavyosema kutegemea mnataka kufanya nini. We can not generalize. Lakini kuna mantiki kwenye semi zako.