Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mkono mrefu ina maana kama ifuatavyo,serikali ina mkono mrefu maana yake ni kwamba SERIKALI IPO KILA SEHEMU NA INAUWEZO WA KUMFIKIA YEYOTE YULE MAHALA POPOTE PALE, na hii ya Juma ana mkono mrefu ina maana 2 tofauti,kuna mkono mrefu ikimaanisha WIZI,na maofisini wanalitumia kumaanisha RUSHWA
Mzazi anamuita mwanae mbwa! Sasa kama mwana wa Mbwa huzaliwa na Mbwa jibu kamili Wote Mijibwa
Sasa kama Serikali ina Mkono Mrefu na Juma nae ana mkono Mrefu basi Wote Majizi