gileun
Member
- Nov 8, 2017
- 85
- 74
Wakuu habari zenu?
Naomba kujua endapo kuna mtu huwa anafanya malipo yake kwenye POS machines kwa kutumia simu ambayo tayari ina support matumizi ya NFC(Near Field Communication) Technology.
Kwa sasa banks nyingi Tanzania zinatoa cards zenye uwezo huo lakini sina hakika kama mifumo yao inawezesha mtu ku bind huduma ya NFC na Smartphones zinazo support NFC kupitia Banking Apps zao za simu.
Pia, kama kuna Application ambayo unaweza tumia kwa kufanya malipo in Tanzania inayofanya kama Google Pay, naomba kuijua kwa mwenye kujua kama ipo Application ya ivo.