Matumizi ya nguvu sio mazuri: BoT, Police following black market forex

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Copy and paste
Sunday news πŸ‘‹πŸ½ ya kuanzia siku πŸ˜‚
Serikali ya mahodari inaendelea kupaiza uchumi! Sasa kuna soko la magendo (haikuanza leo ilianza 2018 walipopora fedha na kufunga maduka ya fedha)
Sasa eti serikali inapambana na soko hili
Ila ukweli ni huu (numbers don’t lie) πŸ‘‡πŸ½

SASA
Manunuzi ya fedha za kigeni kupitia maduka ya fedha πŸ‘‰πŸ½ $197.18 million
Mauzo πŸ‘‰πŸ½ $86.98 million

Tukilinganisha December 31, 2018
Manunuzi πŸ‘‰πŸ½$722.9 million
Mauzo πŸ‘‰πŸ½ $415.2 million

Si hamtaki soko huria na mnajua kila kitu?! Haya pambaneni ila kwa data hii ni dhahiri thamani ya shilingi katika soko huria siyo hii wanayotutangazia - watu hawataki shilingi wanasaka πŸ’΅πŸ’΅ ila si kwa bei ya kupangiwa! πŸ˜„ And there’s nothing you can do about it zaidi ya wengi wape πŸ‘‹πŸ½

 
Hawataweza kudeal na mtandao ambao control yake ni nje sio rahisi
 
Hii serekali ya MATAPELI, wateka nyara, wanazidi kutapatapa tu. Wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, inachekesha na kufurahisha sana.
 
Yes, tunazitaka na hizo za forex...

Alafu tutahamia western union tunazikomba, tukitoka hapo tunachungulia kwenye hizo Mpesa, EasyPesa, Halopesa, Airete money zeenu, mwenye nyingi tunakomba...





Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…