Matumizi ya noah kibiashara

Matumizi ya noah kibiashara

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Wana jf, salam!

Naomba kujua matumizi ya noah kama biashara. Nina wazo kuitumia noah niliyo nayo kufanyia biashara isiyo rasmi mara moja moja. Niko mbeya mjini nimefikiri atleast kila weekend niwe nakwenda dar, muda iwe asubuhi sana/alfajili. Je kuna mwenye ufahamu au uzoefu wa namna ya kuendesha biashara hii;
je haina usumbufu wa traffic wakiona umepakia watu?
Je, inawezekana abiria wakapendelea usafiri huu kwa bei ya luxury or semi luxury bus?
Nipateje abiria?


Thanks
 
Back
Top Bottom