Matumizi ya preginancy test

Wiki 3 na kuendelea ndipo ile homoni inakuwa tayari ipo kwenye mkojo.
 
Kuanzia wiki mbili, URINE FOR PREGNANCY TEST inaweza kutumika na kutoa majibu yaliyo sahihi.

Ila ndani ya wiki moja pia unaweza ukapima damu kuangalia ujauzito , ingawaje njia hii haitumiki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…