Matumizi ya sehemu hizi kwenye magari ya toyota

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Kama picha zinavyoonyesha .. tusaidie kutambua matumizi ya sehemu hizi kwenye magari ya Toyota.
Screenshot_2018-07-06-16-42-44.jpg
Screenshot_2018-07-06-16-42-41.jpg
Screenshot_2018-07-06-16-42-39.jpg
 
Hiyo ETC ni Navigation.
Mkuu hiyo siyo kwa ajili ya navigation Ila ni sehemu ya kuingiza credit card ambazo ni prepaid ili kurahisisha ulipaji ushuru wa road toll...sasa mfano Japan kuna magari mengi mno na maeneo yenye road toll ni mengi pia hivyo unapofika kny road toll kuna scanner itakayosoma hiyo card na kukata tozo kny hiyo card bila ya wewe kutoa cash..unachotakiwa ukikaribia road toll ni kupunguza tu mwendo kisha card inasomwa na kuendelea na safari yako.
 
Okay Mkuu nimekupata sawia.
 
asante
 
NA HICHO KIDUDE CHA PEMBENI YA BUTTON YA KUSET MIRROR??
 
Hapana mkuu.. Hiki kinatumika kufungua compartment za pembeni.. Mfano kama hicho cha kuset vioo kikiharibika ili kukitengeneza inabidi kitolewe.. Kukitoa unaanza na hichi unachokiulizia.. Unakivuta kwa hapo kwenye kishimo kinatoa lock za juu halafu unaweza ingiza kidole au bisibisi kutoa hicho cha kucontrol vioo na kukirekebisha au magari mengine kama IST huwa kuna vitu zaidi kama relay ya kupandisha na kushusha taa za mbele.

Ni sehemu ya kufungua kirahisi ili utengeneze au uongeze kitu katika hizo slots
mm bado natatarika na jibu la coin naona hata mleta mada hataridhika, ngoja waje wataalam maana kila gari za miaka ya 2000 vipo
View attachment 1110020
 
Hapana mkuu.. Hiki kinatumika kufungua compartment za pembeni.. Mfano kama hicho cha kuset vioo kikiharibika ili kukitengeneza inabidi kitolewe.. Kukitoa unaanza na hichi unachokiulizia.. Unakivuta kwa hapo kwenye kishimo kinatoa lock za juu halafu unaweza ingiza kidole au bisibisi kutoa hicho cha kucontrol vioo na kukirekebisha au magari mengine kama IST huwa kuna vitu zaidi kama relay ya kupandisha na kushusha taa za mbele.

Ni sehemu ya kufungua kirahisi ili utengeneze au uongeze kitu katika hizo slots
Mkuu thanx lkn km njia ya kupitia huko kuset mirror NO, labda km spare ya switch nyiñgne. Nà hapo chini zipo space 2 kwa ajili hiyo, kunà kingine kinatatiza kwenye hand brake ni cha kutunzia nini?
Hongera kwako kwa kuijali JF
IMG_20190531_142850.jpeg
IMG_20190531_143226.jpeg
IMG_20190531_143430.jpeg
 
Back
Top Bottom