Matumizi ya sehemu hizi kwenye magari ya toyota

Je....alama hii hutumikaje unapotumia 4 wheel..??.
View attachment 1677899

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hii ni alama humaanisha Diff lock, hutumika katika barabara zenye changamoto sana na kwa muda mfupi sana.

Mfano umekwama sehemu, unabonyeza hiyo button ya diff lock na baada kufanikiwa kutoka hapo unatakiwa uibonyeze tena (off)

Nb: Gari ikiwa katika diff lock haitaweza kukata kona au kutakuwa na ugumu katika ukataji kona.
 

RugambwaYT

ni kweli Mkuu ni Corolla, wewe nakuogopa maana ni tabibu hasa wa haya magari toka engine hadi body, kwa faida ya wote hako ka container mpaka leo siukajua kazi yake
Toyota wajanja sana. Wanatabia ya kushare parts kwenye models zao mbalibali. So unaweza kuta kwenye model moja kuna feature ambayo hapo kunakuwa button au switch fulani na kwenye model nyingine hakuna. Mfano gari za enzi hizo zilikuwa na switch ya antena.

Kawaida huwa wanaweka kifuniko kizuba hilo tundu. Ila sometimes wanaweka kitu pointless kama hicho ki coinholder ili kumhadaa mteja, hasa wale wa base models kwamba hawajasahaulika sana kwenye options.
 
Mbele ya R kina kazi gani
hicho lilichopo mbele ya R ni switch ya side mirror, vile vioo vya pembeni
unatakiwa ukibonyeze kwenda kulia, utaziweka Mirror za kulia on, sasa unashuka chini unafuata hiyo mishale, kushuka chini au kupanda, kushoto ndio hichohicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…