Matumizi ya Septrine

Matumizi ya Septrine

regyna

New Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Ni sawa kutumia septrine kwa mjamzito wa miezi5? ila ana HIV positive na pia kapewa dawa nyingine.
 
Ni sawa; septrine ina kazi nyingi sana hasa kwa wenye HIV. Inasaidia sana kuzuia magonjwa nyemelezi ikiwemo Malaria. Kwa hiyo atumie asiache..!
 
Back
Top Bottom