R regyna New Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1 Reaction score 0 May 20, 2014 #1 Ni sawa kutumia septrine kwa mjamzito wa miezi5? ila ana HIV positive na pia kapewa dawa nyingine.
Brightman Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2009 Posts 1,224 Reaction score 234 May 20, 2014 #2 Ni sawa; septrine ina kazi nyingi sana hasa kwa wenye HIV. Inasaidia sana kuzuia magonjwa nyemelezi ikiwemo Malaria. Kwa hiyo atumie asiache..!
Ni sawa; septrine ina kazi nyingi sana hasa kwa wenye HIV. Inasaidia sana kuzuia magonjwa nyemelezi ikiwemo Malaria. Kwa hiyo atumie asiache..!