PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kwenye Subaru forester Sport Mode gari inakua nyepesi na inamwaga Moto zaidi (mafuta nayo yanaenda mengi)Wakuu....
Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani..
Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru sijaelewa bado hasa kama upo kwenye D(drive) na unataka kuovertake, JE utatumia sharp intelligence au sport mode au paddle shifter ( +- )
Hii gari MUNGU akipenda nataka kuishi nalo mwaka huu
Vipi kuhusu sharp intelligence?Kwenye Subaru forester Sport Mode gari inakua nyepesi na inamwaga Moto zaidi (mafuta nayo yanaenda mengi)
Mkuu endelea kuishi miaka mingi ndugu yangu hapa angalau nimepata elimu ya kutosha..Mkuu PureView zeiss unamaanisha hivi au?
View attachment 2981476
Kwa ninavyojua, SI Drive (Subaru Intelligent Drive) inamsaidia dereva kuchagua driving mode mbalimbali kutegemeana na aina ya barabara, hali ya hewa na yeye anavyotaka gari liitike vipi.
Inakuaga na modes tatu (3):
Intelligent (I) Mode:
Hii kwenye magari mengine tungesema economy mode. Mara nyingi unaweka kwaajili ya kusave mafuta, kupunguza emissions na smooth ride, kwahiyo wana recommend unatumia ukiwa cruising around mjini.
Sport (S) Mode:
Hapa engine inafunguka zaidi. Utapata throttle zaidi na power. Wengi niliwahi sikia wanasema ni vema kuacha kwenye hii mode.
Sport Sharp (S#) Mode:
Kwa lugha nyepesi ni Sport Mode iliyochangamka.
Sasa umeongelea kuhusu paddle shifters, ambazo kuzi engage unaweka gear leaver yako kwenye D kisha unaipush kulia.
View attachment 2981490
(PS: Hii picha ni Subaru Left Hand isikuchanganye, so still ukiweka kwenye D unaipush kulia).
Kwa Engine ya Subaru ambazo ni CVT sioni maana ya kutumia paddle shifters labda ukiwa unashuka mteremko mkali sana (mfano tuseme from Lushoto au Kitonga) kwahiyo unataka kucontrol speed bila breki nyingi.
Wewe SUV naona unataka Forester. Kuna jamaa kazini ana Outback ya 2009 ndani leather, Eyesight etc. Ni kali sana.Mkuu endelea kuishi miaka mingi ndugu yangu hapa angalau nimepata elimu ya kutosha..
Babu kubwaaa!!
Mimi nitanunua ya 2009-20012 maana hii gari niliyonayo inanitesa Sana kipindi hiki cha mvua na barabara za vumbi.Wewe SUV naona unataka Forester. Kuna jamaa kazini ana Outback ya 2009 ndani leather, Eyesight etc. Ni kali sana.
Nawaza Subaru ya 2014 kuja juu. ππ
Unamaanisha *2014Mimi nitanunua ya 2009-20012 maana hii gari niliyonayo inanitesa Sana kipindi hiki cha mvua na barabara za vumbi.
Subaru forester ya 2024 naona bei yake imechangamka kidogo
Yes.... Subaru forester ya 2014Unamaanisha *2014
Ngoja nicheki somewhere
Kwa 2009 hadi 2013 ungeanza na kuangalia izi engine ipi ni best:Yes.... Subaru forester ya 2014
OkMkuu PureView zeiss unamaanisha hivi au?
View attachment 2981476
Kwa ninavyojua, SI Drive (Subaru Intelligent Drive) inamsaidia dereva kuchagua driving mode mbalimbali kutegemeana na aina ya barabara, hali ya hewa na yeye anavyotaka gari liitike vipi.
Inakuaga na modes tatu (3):
Intelligent (I) Mode:
Hii kwenye magari mengine tungesema economy mode. Mara nyingi unaweka kwaajili ya kusave mafuta, kupunguza emissions na smooth ride, kwahiyo wana recommend unatumia ukiwa cruising around mjini.
Sport (S) Mode:
Hapa engine inafunguka zaidi. Utapata throttle zaidi na power. Wengi niliwahi sikia wanasema ni vema kuacha kwenye hii mode.
Sport Sharp (S#) Mode:
Kwa lugha nyepesi ni Sport Mode iliyochangamka.
Sasa umeongelea kuhusu paddle shifters, ambazo kuzi engage unaweka gear leaver yako kwenye D kisha unaipush kulia.
View attachment 2981490
(PS: Hii picha ni Subaru Left Hand isikuchanganye, so still ukiweka kwenye D unaipush kulia).
Kwa Engine ya Subaru ambazo ni CVT sioni maana ya kutumia paddle shifters labda ukiwa unashuka mteremko mkali sana (mfano tuseme from Lushoto au Kitonga) kwahiyo unataka kucontrol speed bila breki nyingi.
Nitanunua 2L EJ20 H4 turbo hii ndiyo naitamani
Mimi misimamo yangu:Nitanunua 2L EJ20 H4 turbo hii ndiyo naitamani
Chief kwanza Hongera sana kwa kuwa na mpango wa Kuhamia kwenye SUV familia ya Subaru.Wakuu....
Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani..
Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru sijaelewa bado hasa kama upo kwenye D(drive) na unataka kuovertake, JE utatumia sharp intelligence au sport mode au paddle shifter ( +- )
Hii gari MUNGU akipenda nataka kuishi nalo mwaka huu
Mkuu hongera Sana maana najua haya magari ya juu Yana Raha yake kwenye barabara zetu za Tanzania...Rumion naipenda Sana Ile gari ila shida ilikuwa kwenye barabara za vumbi hasa bumper nilikuwa natengeneza kilasiku..Chief kwanza Hongera sana kwa kuwa na mpango wa Kuhamia kwenye SUV familia ya Subaru.
Kwanza kabisa naomba niseme wewe jamaa ndio ulinifanya nikafungua kibubu changu na Kuchukua Toyota Rumion pearl white ya 2010 π back in 2020. Maake kila siku ulikua una uzi wako ule wa Rumion π€£. Mpaka nikaipenda na kuiagiza na mpaka sasa ninayo. Japo nami mwaka huu soon nitaitoa kuipumzisha na kuingia kwenye Ulimwengu wa SUV. Performance wise ilinitendeaa haki na niliipenda sana kwani yangu ilikuja na Rim size ya 17" ambapo niliiwekea Spacer hivyo kuwa juu.
All in all, nimepata Sibaru Eye sight ya 2013 ni moto balaa. Infortainment yake na dashboard iko poa sana.
Kwenye Familia ya Subaru hawana kazi ndogo na kwenye mabio ndio nyumbani.
Huwa natambua mchango wako nikiona unavyopenda magari π
Natumai chuma iko majini kwasasa niliona juzi ukiongelea Uhaba wa Dollar