Matumizi ya ‘Surnames’ ni kitu kipya duniani. Uliletwa kubaini waliokataa kulipa kodi

Matumizi ya ‘Surnames’ ni kitu kipya duniani. Uliletwa kubaini waliokataa kulipa kodi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Matumizi ya SURNAMES Ni kitu kipya duniani na kilianza kutumika rasmi Mwaka 1066 baada ya Mapinduzi ya Norman Conquest.

Hata kwenye vitabu vitakatifu Mtume Mohammad aliitwa kwa jina lake, hata Yesu aliitwa kwa jina hilo. Hata ilipotokea kuitwa YESU wa Nazareth, ilionesha mahali alipotokea na sio surname yake.

Isaya, Jeremiah, Musa na manabii wengi walijulikana kwa majina yao.

Utaratibu wa kutambuana kwa surname uliletwa ili kuwabaini waliokataa kulipa Kodi, na waliokataa kupeleka watoto wao vitani kwa kuwaficha.

Daka hiyo.
 
Elisabeth II ni malkia wa Uingereza tangu mwaka 1952. II is just a number [emoji16][emoji16][emoji14][emoji14]
 
Back
Top Bottom