Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Matumizi sahihi ya taa za nyuma za gari ni mojawapo ya misingi mizuri ya kulinda usalama barabarani
Kuna aina sita za taa zilizopo nyuma ya gari.
1..taa nyekundu za parking ambazo hutumika wakati wa usiku ...taa hiz kuwaka pamoja na taa za mbele za parking
2..taa za indicators...kulia na kushoto...mara nyingi huwa za njano.
3...taa nyekundu zinazotumika usiku ili kuwawezesha madereva wengine kutambua uwepo wako ukiwa barabarani...taa hiz huwaka pamoja na taa kubwa za mbele.
4...taa nyekundu za break...taa hiz huwaka pale unapokanyaga break....hutumika kuwapa taarifa madereva walipo nyuma kutambua sasa unataka kusimama au kupunguza mwendo hivyo kuwapa tahadhari ya vitendo vyako....taa hiz huwaka muda wowote hata kama ni mchana...pia hata kama ni usiku na zimewaka taa nyekundu za kawaida...basi taa za break huwaka zaidi ya zile za kawaida.
5...taa za kurudia nyuma...taa hiz huwaka pale unapoingiza gia ya reverse...huwa na rangi sawa na taa kubwa za mbele japo zenyewe huwa ni ndogo...humsaiida dereva kuona nyuma nyakati za usiku lakini pia hutoa taarifa kuwa gari husika linarudi nyuma. Magari mengine hasa makubwa huwa yakitoa alarm ambayo husaidiana na taa hiz kutoa taarifa.
6...taa za plate number....taa hiz hutumika kumulika plate number wakati wa usiku...ni lazima na sio ombi kisheria taa hiz kuwaka na kuonesha plate number ambazo ni utambulisho wa gari nyakati za usiku...taa hiz huwaka pamoja na taa kubwa za mbele.
Hiz ndio taa za msingi kabisa katika magari ya kawaida....Magari makubwa kama malori na mabasi huwa na taa zingine za ziada lakini ni muhimu....kuna vitaa vidogo ambavyo huwa na rangi mbalimbali kama vile kijani,nyekundu,nyeupe na njano....huwa vinakuwa eneo la juu kabisa ya lori au basi mbele na nyuma au pembezoni...taa hiz huwa ni utambulisho wa gari husika hasa nyakati za usiku.
Uongezaji wa taa zozote mbali na taa za msingi katika gari ni vyema ukazingatia utaratibu wa kwenda kwa vehicles inspector(polisi) kwa na kupata kibali kama gari yako inastahili kuongezewa taa za ziada...kwa mfano kuna gari za porini ambazo huwa zinahitaji taa za ziada kwa ajili ya kuona mbali zaidi...na mara nyingi porini uwezekano wa kupishana na gari nyingine ni mdogo hivyo wingi wa taa au ukali wa mwanga unakuwa hauna athari yeyote.