Gideon kimaryo
New Member
- Sep 3, 2022
- 2
- 3
Teknolojia inazidi kukimbia sana ,na hivyo maendeleo katika sayansi na teknolojia yanaweza kutumika zaidi katika kutatua changamoto zilizopo ndani ya jamii zetu za kitanzania ,mfano teknolojia ya kutumia akili za kubumba(artificial intelligence) na teknolojia ya kuzifundisha mashine(machine learning), ambazo zinafanya kazi kwa kutumia taarifa ambazo zilizopo kuingizwa ndani ya mifumo ya teknolojia hizo na kuanza kufanya kazi kupitia taarifa hizo, mfano:
Kwenye kilimo
kwa kutumia teknolojia ya akili za kubumba tunaweza kutatua baadhi ya changamoto zilizopo katika kilimo mfano kwenye maeneo ambaya wataalamu wa masuala ya kilimo hawapo au wanapatikana mbali na eneo hilo la kazi teknolojia hii inaweza kutumika katika kutambua baadhi ya magonjwa ambayo yanashambulia mazao yalio shambani kama vile matunda na mboga mboga.
image source:world economic Forum
Kwenye ufugaji
Kwa kutumia teknolojia ya virtual reality zinakuwa kama headset ambazo mnyama anaweza akavalishwa kipindi cha malisho anakuwa anapata uzoefu kama yuko kwenye mazingira mengine ingawaji yuko mazingira yale yale,sasa hii inaweza kwenye kututatulia migogoro iliopo kati ya wakuliima na wafugaji hapa Tanzania kwa kuwa kama wafugaji wakithmia teknolojia hizi mifugo haitaweza kwenda mbali na nyumbani au maeneo yao ya kawaida ya kuwalishia ,hivyo itaondoa changamoto ya mifugo kuingia kwenye mashamba ya watu au maeneo ya hifadhi, na pia teknolojia hii imeonekana ikisaidia sana katika kuongezeka kwa uzalishaji wa maziwa.
image source:krish jargan
Kwenye afya.
Maabara
Pia teknolojia hizi kwenye maabara zetu zinaweza kutumika katika kutoa majibu ya vipimo kwa haraka zaidi mfano hatua za kuchakata na kuweka rangi baada ya vipimo kwenye maabara ya histopatholojia uweza kuchukua siku 2 na baada ya apo ili majibu ya sampuli hizo yaweze kutafsiriwa na kutolewa itakuwa baada ya siku moja au mbili kulingana na ratiba ya wataalamu hawa(pathilogist), na kama kutakuwa na sikukuu au kama siku ya vipimo ilikuwa ni ijumaa maana yake siku zitazidi kuwa nyingi zaidi hivyo basi kama tukitumia mifumo au app ya artificial intelligence ,ambazo zitakuwa zimeshawekwa taarifa za vipimo vilivyopita ,tutaweza kupata majibu kwa sekunde tu (baada ya sampuli kupitia hatua zote za vipimo).image source: sarataniAI
Vipimo vya mionzi
Baadaa ya picha zinazotoka kwenye mashine kama vile x-rays, CT-scan, na MRI zinapatikana kwenye baadhi ya hospitali Tanzania kinachofuata huwa na kuzisoma na kutoa tafsiri ya muonekeno wa picha izo ambazo inaweza kuwa si tatizo au tatizo(ugonjwa ) kwa mapana yake zaidi. kutokana na changamoto ya upungufu wa wataalamu hawa(radiologist) pia teknolojia hii ya akili za kubumba inaweza kutumika katika kutoa majibu au kumsaidia mtaalumu huyo kumuonesha yale maeneo yenye tatizo kwahiyo wakati anafanya uchambuzi wake ataangalia tu maeneo yale ambayo mashine ilkuwa imeelezeka ahangalie hivyo itapunguza zaidi mda na kupata huduma kwa haraka zaidi na ubora.
na pia kwenye mchakato ambayo ni migumu kidogo na uchukua mda mrefu kama vile MRI analysis kwa kutumia mifumo ya AI inaweza kufanyika kwa sekunde chache tu.
image source:edureka
angalizo: teknolojia hizi azichukui nafasi au taaluma za binadamu moja kwa moja kwa kuwa hata zenyewe zinatengenezwa na binadamu lakini pia zitakuwa zinafanya kazi chini ya uangalizi au kwa kusaidiwa na wataalamu husika mfano tunaweza kumtumi mtaalamu wa radiolojia (radiologist) aliopo muhimbili ambae atakuwa ana anangalia utendaje kazi wa app iyo ambayo inaweza ikawa lablda mbeya au mtwara lakini hii inakuwa ni kwa haraka zaidi tofauti na iliyopo hii ambayo ni kama mfumo wa kawaida hospitali ambao huwa unakuwa na changamoto moto za kimtandao kama vile kuwa pole pole sana au mtandao kutokwepo kabisa kama tunavyoonaga.
Changamoto
Moja ya changamoto ya teknolojia hii ni garama kubwa na zitafanyakazi vizuri zaidi kwenye maeneo yenye mtandao mzuri na kwa watu wenye siimu janja au tarakilishi.
Mwisho
inakadiriwa kuwa teknolojia hii ya akili za kubumba AI mpaka kufikia mwaka 2030 itachangia takribani dola trillioni 13 katika uchumi wa dunia na matokeo makubwa zaidi yatakuwa kwenye huduma za afya (source :edureka), na pia makampuni makubwa duniani kama vile azure(Microsoft),tesla, google na amazon kuonekana kuweza nguvu nyingi katika teknolojia hii hivyo mambo mazuri yanatarajiwa huko mbeleni.
Kwa Tanzania tume ya sayansi na teknolojia COSTECH inabidi izijikuwekeza katika kuweka mazingira wezeshi kwa vijana,wanafunzi au wataalamu katika septa ya afya na kilimo na septa zingine ili wabunfu wawezekupata nafasi kuonyesha ubunifu wao na kuwezeshwa kufanya kazi na pia kutuletea teknolojia hizo nchini kwetu na sisi.
Mobile no:0621507107
View attachment 2355577
View attachment 2356574View attachment 2356575View attachment 2356577View attachment 2356576
View attachment 2356749

Upvote
7