Kama ilivyo kwenye sheria ya manunuzi matumizi ya Tshs.1.3 trillioni ya UVICO -19 zitangazwe kupitia Taneps ili watu wenye sifa waombe na jukumu la Serikali liweni kusimamia ubora.
Nchi inayongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni, kwa nini tukiuke sheria, taratibu na kanuni?.
Force account haipo kisheriana single source huwa ina viashiria vya rushwa.
Nashauri tufuate sheria katika suala hili.