Frank koteck
New Member
- Sep 27, 2021
- 1
- 0
Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Ladha”Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza Radha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
Ukiweka water guard tablets kwenye maji ndani ya chombo kilichofungwa vizuri bila kupitisha hewa, maji hayo yanatumika ndani ya siku 7. Lakini kama ni kwenye chombo kisichofungwa vizuri, maji yatatumika kwa saa 24.“Ladha”
Hivi maji yanatakiwa yatumike baada ya muda gani ukiweka hiyo water guard?