Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza Radha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
Ukiweka water guard tablets kwenye maji ndani ya chombo kilichofungwa vizuri bila kupitisha hewa, maji hayo yanatumika ndani ya siku 7. Lakini kama ni kwenye chombo kisichofungwa vizuri, maji yatatumika kwa saa 24.