L Liky JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 431 Reaction score 255 Sep 18, 2023 #1 Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania. Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania. Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 18, 2023 #3 Ule wimbo hauna hatimiliki. Same tune inatumika na mataifa mengine ya Africa.
R Rembwe Member Joined Apr 10, 2023 Posts 59 Reaction score 66 Sep 18, 2023 #4 Ni audio ya maneno kabisa au? Mtoa mada atufafanulie