Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

Liky

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
431
Reaction score
255
Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania.

Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
 
Ule wimbo hauna hatimiliki. Same tune inatumika na mataifa mengine ya Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…