Matumizi ya 'x' katika kuandika ujumbe

Matumizi ya 'x' katika kuandika ujumbe

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
Tukienzini Kiswahili chetu, x haina nafasi kwenye kuandika Kiswahili acheni ujinga.
 
Jogoo uko sawa tusipende kuongeza vitu ambayo havina maana mfano mtu anaindika xaxa eti anamanisha sasa. Huo ni utumwa wa wa kifikra na ni ulimbukeni
 
Back
Top Bottom