agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Sipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,😏😏😏😏fyuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili usirudiexaxa xi ungeniambia tu kuliko kunianika huku kwa wananzengo
nitaacha.
Bora atumie mwanamke sio jamaa lenye midevu yakeKwanini hujasema janamke zima lenye maziwa kama ndala ihali hata mtoto mmoja halina?
xawa mpenziIli usirudie
Bora atumie mwanamke sio jamaa lenye midevu yake
Kwendraaaambona umenuna xaxa?
Nini imenigusa?Nisamehe kama imekugusa
Kwamba Nina maziwa ndala eee?Hiyo hiyo nini
Xaxa mpenzi umeamua kuja kunixema huku. Baxi kuanzia leo xixeksi tena na wewe.Sipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]fyuu.
Kwamba Nina maziwa ndala eee?