kuna sababu nyingi zinazosababisha watu kuchanganya matumizi ya maneno haya, eidha kwenye matamshi au kuyaandika,moja kubwa ni effect ya lugha ya awali au asili,kuna baadhi ya makabila yanasumbuliwa sana na matumizi ya maneno haya pamoja kwamba sitayataja makabila hayo.sababu nyingine ni uelewa,kuna uelewa wa aina tofauti kati ya mtu mmoja na mwingine,wengine wana uelewa wa haraka na wengine taratibu,hata shuleni mnaweza kuwa wanafunzi 30 lakini akapatikana wa kwanza na wa mwisho miongoni mwenu.la muhimu ni kusahihishana bila kuaibishana au kudharauliana.Unakuta mtu badala aandike neno kwa usahihi analiandika katika matumizi ya herufi ambayo siyo na huku ni kuzuoesha wengine matamshi ambayo mwisho wa siku yatazidi kuharibu lugha ya kiswahili.
Mfano mtu anaandika neno ''kelo'' badala ya kero
''habali'' badala ya habari
''badara'' badala ya badala
''hasila'' badala ya hasira
Tujifunze matumizi sahihi ya herufi ndugu zangu, mazoea ni kilema. Hadi kwenye magazeti waliozoea kukosea matamshi haya huandika kwa kukosea pia.
Ahsanteni.
-hutofautianaTatizo nyinyi watoto wa ki dar es saraama mnajifanya mnajuwa sana kufanya critic, mmesaau kuwa watu utofautihana ufaamu na mda mwengine ni makaso ya kibinadamu na wengine kiswahili sio lugha yao.
Labda mtoa maada yanakela nini, ivi ukikuta sms kwenyesimu yako imeandikwa "Umepokea SHIRINGI 1'000'000 utakuwa bado hujahelewa.Unakuta mtu badala aandike neno kwa usahihi analiandika katika matumizi ya herufi ambayo siyo na huku ni kuzuoesha wengine matamshi ambayo mwisho wa siku yatazidi kuharibu lugha ya kiswahili.
Mfano mtu anaandika neno ''kelo'' badala ya kero
''habali'' badala ya habari
''badara'' badala ya badala
''hasila'' badala ya hasira
Tujifunze matumizi sahihi ya herufi ndugu zangu, mazoea ni kilema. Hadi kwenye magazeti waliozoea kukosea matamshi haya huandika kwa kukosea pia.
Ahsanteni.
Hapo kwenye red,ndio wapi huko?!Tatizo nyinyi watoto wa ki dar es saraama mnajifanya mnajuwa sana kufanya critic, mmesaau kuwa watu utofautihana ufaamu na mda mwengine ni makaso ya kibinadamu na wengine kiswahili sio lugha yao.
Ndugu mini hapa sijakuelewa kwa hili neno NINYI. Ninyi ni neno sahihi kabisa la kiswahiliNyinyi=Ninyi
Mmesaau= mmesahau
Utofautiana= Hutofautiana
Jindal singh kwa kiswahili hiki heri uandike Kihindi
Siyo suala la watoto wa Ki-Dar es Salaam. La hasha. Watu hawataki kujifunza. Wako wengine hata wakisahihishwa wanakuwa wakali na kudai eti walichoandika kinaeleweka. Wakati huo kaandika "asila" badala ya "hasira".Tatizo nyinyi watoto wa ki dar es saraama mnajifanya mnajuwa sana kufanya critic, mmesaau kuwa watu utofautihana ufaamu na mda mwengine ni makaso ya kibinadamu na wengine kiswahili sio lugha yao.