CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Asante kwa taarifaHaya ni matunda ambayo yanapatikana sana Asia na pia America,
Ni matunda ambayo yana radha kati kati ya pears na Kiwi Kwa wale walio wahi kula Kiwi fruit.
Haya matunda ni ghari sana na kuna baadhi ya Super Market huwa wanayaingiza kutoka nje ya nchi jasa South Africa au Egypt.na unakuta tunda moja linaenda kwa sh 10, 000/
Kuyaotesha haya matunda inatumika Cuttings ambazo zinatolewa kwenye matunda yenyewe.
Yanaweza stawi sehemu kame ila ni bora kwa mwanzo yakapata maji ya kutosha.
Ni kilimo cha kuwekeza
View attachment 2062545View attachment 2062546View attachment 2062550
Unaagiza ebay unaotesha unapanda ila si popote ulizia hali ya hewa na udongo zinaopendeleaMbegu zinapatikana wapi?
Tatizo kuagiza mbegu kutoka nnje kunatakiwa vibari vingi na gharama sana labda uingize kwa njia za panya.Unaagiza ebay unaotesha unapanda ila si popote ulizia hali ya hewa na udongo zinaopendelea
Cactus wachina wanakulaWachina wanahangaika nayo Sana, inawezekana Yana virutubisho muhimu...
Nimeona miti kadhaa mitaani wenye nayo wanaitumia kama maua, sidhani kama wanayala hayo matunda wanayaona kama cactus...
Ntakichekia kenyaTatizo kuagiza mbegu kutoka nnje kunatakiwa vibari vingi na gharama sana labda uingize kwa njia za panya.
Hii kitu nilielimishwa na Mkena mojaHaya ni matunda ambayo yanapatikana sana Asia na pia America,
Ni matunda ambayo yana radha kati kati ya pears na Kiwi Kwa wale walio wahi kula Kiwi fruit.
Haya matunda ni ghari sana na kuna baadhi ya Super Market huwa wanayaingiza kutoka nje ya nchi jasa South Africa au Egypt.na unakuta tunda moja linaenda kwa sh 10, 000/
Kuyaotesha haya matunda inatumika Cuttings ambazo zinatolewa kwenye matunda yenyewe.
Yanaweza stawi sehemu kame ila ni bora kwa mwanzo yakapata maji ya kutosha.
Ni kilimo cha kuwekeza
View attachment 2062545View attachment 2062546View attachment 2062550
Arusha yana fahamika sana na hawa watu wa mbeleHii kitu nilielimishwa na Mkena moja
Nikamuona Mchina MOJA analima on a commercail scale Zambia, kwa hapa kwetu nawafahamu wakulima wawili wapo Arusha moja ndio anafanya kibiashara mwingine ni mstaafu kaotesha tu kwake
Kwa nyie watu wa Arusha hii kitu demand yake ni kubwa saana hasa Kenya, nilishona pahali mtu kayaotesha sehemu kame saana
Ninayo miche michache nimeotesha huku Pwani ya Tanganyika ina mwaka na nusu, hope itanipa matokeo matunda
Una point hapa ila hujaeleweka umeandika niniTunda bongo elfu 12 matunda 10,120 ni ekari ,ukipiga mbinu hii nayotoa bure 1200000,ila miaka 6 kuendelea na yanavilia ukame kuliko alizet ila wachawi panda na ya kuzuia wachawi hilo muulize @Mzizimkavu na Mshana Jr mimi na mwaka naona mapicha ya kutisha nawauliza hawajibu ,mara nione mambo siyajui najiuliza how can i imagine nisicho kijua,na havihusiani nam kuna mtu mtabir alishika mkono wangu hakutabir ila akatabiria wenzangu ,mshana na mzizi sio matapeli wengine wa pime mwenyewe.l
Inaitwa pitaya tunda la bahati na utajiri.l
Niliyaona supermarket Nairobi moja linauzwa ksh 690..about two weeks agoHaya ni matunda ambayo yanapatikana sana Asia na pia America,
Ni matunda ambayo yana ladha kati kati ya pears na Kiwi Kwa wale waliowahi kula Kiwi fruit.
Haya matunda ni ghali sana na kuna baadhi ya Super Market huwa wanayaingiza kutoka nje ya nchi jasa South Africa au Egypt na unakuta tunda moja linaenda kwa sh 10, 000/
Kuyaotesha haya matunda inatumika Cuttings ambazo zinatolewa kwenye matunda yenyewe.
Yanaweza stawi sehemu kame ila ni bora kwa mwanzo yakapata maji ya kutosha.
Ni kilimo cha kuwekeza
View attachment 2062545View attachment 2062546View attachment 2062550
Ndio yenyewe, shinyanga pia nilishayaona na tulikuwa tunayaita jina hiloHaya Yanaota Tu Dodoma, Singida, Tanga,
Haya Ndiyo Furahisha M.....
Dragon hayana asili ya Africa mkuu, unazungumzia vitu tofauti kabisaNdio yenyewe, shinyanga pia nilishayaona na tulikuwa tunayaita jina hilo