Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Rais Mtarajiwa Mkereketwa_Huyu asante kwa kuipitisha Bajeti yangu ninashangaa nchini mwetu karibu Matunda hayo yote yapo lakini hatuli sijuwi kwanini? Tunayaogopa matunda utafikiri kituo cha Polisi ahhh? Kulikoni?Ahsante Mh. waziri na bajeti yako nitaipitisha tu.
Mkuu Young Master sijuwi huko nyumbani mimi nipo Ughaibuni ninakula hilo Tunda la Kiwi tamu sanahili tunda linaloitwa Kiwi lipo bongo kweli hili mkuu MziziMkavu? maana shidhani kama nimewahi kulisikia au kuliona tokea nizaliwe.
Mi nayaonaga kwenye zile breakfast za kizungu, sjui wanayatoa wapi?hili tunda linaloitwa Kiwi lipo bongo kweli hili mkuu MziziMkavu? maana shidhani kama nimewahi kulisikia au kuliona tokea nizaliwe.
Rais Mtarajiwa Mkereketwa_Huyu asante kwa kuipitisha Bajeti yangu ninashangaa nchini mwetu karibu Matunda hayo yote yapo lakini hatuli sijuwi kwanini? Tunayaogopa matunda utafikiri kituo cha Polisi ahhh? Kulikoni?
Mkuu Mkereketwa_Huyu Member wengi humu ndani ni wavivu kula matunda basi hata kunipa neno (Like) wanashindwa ahhhhhhUmeona eheee. Sasa hapa kibarua cha kushawishi watu kula matunda unacho na ndiyo maana hiki cheo cha uwaziri wa afya kinakufaa sana.
Mkuu Mkereketwa_Huyu Member wengi humu ndani ni wavivu kula matunda basi hata kunipa neno (Like) wanashindwa ahhhhhh