Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jun 24, 2013 #1 MOTHER OF ALL FRUITS !! I WOULD DIVE IN HERE
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jun 24, 2013 #2 haya matunda toka israel nini haya...?
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jun 24, 2013 Thread starter #3 kabanga said: haya matunda toka israel nini haya...? Click to expand... Mkuu kabanga Matunda haya yanatoka Ulaya Mkuu sio Israil.Kwani hapo nyumbani hakuna hayo matunda?
kabanga said: haya matunda toka israel nini haya...? Click to expand... Mkuu kabanga Matunda haya yanatoka Ulaya Mkuu sio Israil.Kwani hapo nyumbani hakuna hayo matunda?
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Jun 24, 2013 #4 Mate yamenichuruzika.... ngoja niende kitaa nikakamate apples.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jun 24, 2013 #5 MziziMkavu said: Mkuu kabanga Matunda haya yanatoka Ulaya Mkuu sio Israil.Kwani hapo nyumbani hakuna hayo matunda? Click to expand... mkuu yapo hapa home, lakini wajua pia hakuna tunda ambalo halikosikani katika ardhi ya israel...
MziziMkavu said: Mkuu kabanga Matunda haya yanatoka Ulaya Mkuu sio Israil.Kwani hapo nyumbani hakuna hayo matunda? Click to expand... mkuu yapo hapa home, lakini wajua pia hakuna tunda ambalo halikosikani katika ardhi ya israel...
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jun 24, 2013 Thread starter #6 kabanga said: mkuu yapo hapa home, lakini wajua pia hakuna tunda ambalo halikosikani katika ardhi ya israel... Click to expand... Mkuu kabanga kwanini umesema hivyo? umekusudia kitu gani wewe? umesha wahi kufika nchini Israil wewe? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: mkuu yapo hapa home, lakini wajua pia hakuna tunda ambalo halikosikani katika ardhi ya israel... Click to expand... Mkuu kabanga kwanini umesema hivyo? umekusudia kitu gani wewe? umesha wahi kufika nchini Israil wewe?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jun 24, 2013 #7 Na2mia tecno ebu nitajieni hayo matunda
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jun 25, 2013 #8 MziziMkavu said: Mkuu kabanga kwanini umesema hivyo? umekusudia kitu gani wewe? umesha wahi kufika nchini Israil wewe? Click to expand... mkuu duniani watu wanatembea, nimeshawahi kufika, natarajia kurudi tena huko mambo yakienda vizuri...
MziziMkavu said: Mkuu kabanga kwanini umesema hivyo? umekusudia kitu gani wewe? umesha wahi kufika nchini Israil wewe? Click to expand... mkuu duniani watu wanatembea, nimeshawahi kufika, natarajia kurudi tena huko mambo yakienda vizuri...
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jun 25, 2013 #9 Hivi Nyanya ni tunda ?mie najua la kuungia Mboga au kwenye saladi
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jun 25, 2013 #10 Asante kwa kunikumbusha mwaya.