Matunda ya bamia yanaoza kabla hayajakua, tatizo nini?

Matunda ya bamia yanaoza kabla hayajakua, tatizo nini?

EZZ CHEZZ

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,230
Reaction score
1,352
Hello team msaada tafadhali.

Iko hivi, shambani kwangu bamia zinatoa maua vizuri tu. Tatizo ni kwamba maua yananyauka kabla ya wakati na hivyo yanapodondoka huacha matunda dhaifu ambayo hunyauka au kuoza bila kukua.

Tatizo itakuwa nini na nifanyeje kutatua. Pichani hapa chini ni mfano wa namna zinavyoning'ata.

IMG-20200910-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom