Mwaka fulani ZANZIBAR baada ya uchaguzi mkuu serikali ili tangaza hali ya hatari
Kwenye maeneo ya BAGHANI kulikua na mhindi anategeneza Vespa yake wakapita wanausaalama
MAMBO YALIKUA HIVI
ASKARI:-Wewe muhindi hujui kama hairuhusiwi kukaa nje
MUHINDI:-Hapana tabu dugu mimi hapana CUF mimi ipo CCM
ASKARI :-Kama wewe CCM taja matunda yake CCM
MUHINDI:-Matunda ipo mingi sana taja gapi taka veve
ASKARI:-Matunda 5
MUHINDI😛APAI,EMBE,CHUNGWA,DIZI,FENESI.
ASKARI😛UMBAVU SANA HAYA RUDI NDANI HARAKA SANA