Matunda ya kutumia wakati wa ujauzito

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032
Nimeona niwamegee kidogo wanawake juu ya matunda muhimu ya kula wakati wa ujauzito.

Papai ni tunda ambalo mwanamke mjamzito hatakiwi kulikosa angalau kwa siku mara moja. Usiache kutumia matunda mengine pia.

Kwa wale wanaopenda kujifungua kwa njia ya kawaida (bila upasuaji) basi hakikisheni mnakunywa bilauri mbili (2) za juisi ya machungwa kila siku hasa katika mwezi wa mwisho wa ujauzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…