Nawasalimu Wanabodi Wote Humu.
Ningependa Ikiwa Kuna Mtu Yoyote Anayejua Haya Matunda Hapa Nchini Yanalimwa Wapi Na Faida Zake ?
Nilisikia Baadhi Ya Watu Wanasema Yanasaidia Kusafisha Kidole Tumbo Hasa Unapoyala Ama Pia Unapowapa Watoto. Pia Nilisikia Neno Ambalo Siyo
Sahihi Sana Eti Akisagiwa Juisi Yake
Huleta Heshma Ya Ndoa Japo Kwa Nyakati Hizi Ni Ngumu Kuamini Hayo
Tafadhalini Wataalam Mtujuze Hili Tunda Kiwi.