Kwa kukujali, nakuwekea na video
► 4:13► 4:13
Collecting Seeds From A Pineapple - YouTube
yasiyokuwa na mbegu kivipi? Au ukiwa unakula hilo tunda ndo usikute mbegu zake kwa ndani kama unavyokula chungwa?
Labda unamaanisha mbegu ya kokwa. Kwa sababu hakuna tunda ambalo halina mbegu hutokaa ulipate.Hiyo ulioanzanayo tu tayari umechemka. Kizazi hiki cha ajabu sana, nani aliwaambia ndizi haina mbegu?
mkuu mi nimepata NANASINaombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu
1.Ndizi
2.
3.
4.
5.
huna kaz ya kufanya hebu ulza maswal ya msingi, then n mwalm nan kaku2ma hayo? Ulza v2 vya kujenga utasaidiwaNaombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu
1.Ndizi
2.
3.
4.
5.
huna kaz ya kufanya hebu ulza maswal ya msingi, then n mwalm nan kaku2ma hayo? Ulza v2 vya kujenga utasaidiwa
mi naona mjadala ni huu......kwamba wakati unakula.....basi hukuti mbegu ndani.....labda tuanzie hapo......
Na hakuna tunda ambalo kwa uasilia wake halina mbegu. Kitu chochote chenye kutoa ua kina mbegu.